Madaktari bingwa na bobezi waweka kambi nyanda za juu kwa siku tano
Mbeya/Songwe/Sumbawanga. Madaktari bingwa na bobezi wametia kambi katika mikoa mitatu ya nyanda za juu wiki hii. Madaktari hao ambao wameanza kutoa huduma za kibingwa na bobezi kwa wananchi wa halmashauri zote za mikoa hiyo ya Songwe, Mbeya na Rukwa. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kambi hiyo leo Jumanne Mei 14, 2024 katika Hospitali ya Wilaya…