Madeleka aibwaga Jamhuri kesi za kubambikiwa
Wakili Peter Madeleka ameshinda rufaa yake namba 263 ya mwaka 2022 aliyoikata dhidi ya Jamhuri katika Mahakama ya rufani nchini akiomba mahakama hiyo kuruhusu kupitia mienendo ya mashauri yenye shaka katika mahakama za chini. Anaripoti Regina Mkonde… (endelea). Hatua hiyo imekuja baada ya Mahakama ya Rufaa Tanzania kutoa uamuzi uliosema kesi zinazoendelea katika mahakama za…