Maxime: Tchakei, Abuya acha kabisa
WAKATI Ihefu ikishusha presha katika vita ya kushuka daraja, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime ameelezea siri ya kiwango cha nyota wake Marouf Tchakei na Duke Abuya. Wawili hao wamekuwa bora uwanjani na kuchagiza matokeo mazuri kwa timu hiyo, wakihusika katika jumla ya mabao 15 kwenye michezo yote ya mashindano yote ya timu hiyo….