
Kambi ya matibabu yawekwa Ruangwa, Amana na Jai washirikiana “wananchi zaidi ya 3000”
Amana Bank na taasisi ya JAI kwa kushirikiana na ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa imefanikiwa kuandaa kambi ya matibabu inayoendeshwa na Madaktari bingwa na bingwa na bobezi katika fani mbalimbali kwa ajili ya kina mama na Watoto wa Wilaya ya Ruangwa na vijiji vya karibu. Akizungumza katika kambi hiyo Meneja wa…