
Bei ya ufuta yafurahisha wakulima
Mtwara. Baada ya ufuta kuuzwa kwa Sh4,000 katika mikoa ya Lindi na Mtwara msimu uliopita Mkoa wa Songwe umeweka rekodi kwa kuuza zao hilo kwa Sh4,500 kwa kilo msimu huu hali ambayo inaongeza matumaini kwa wakulima. Akizungumza na Mwananchi Digital, Mratibu wa programu ya ufuta kitaifa kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tari) Kituo…