
Huduma nyeti za intaneti zilivyosimama
Dar es Salaam. Licha ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kueleza jitihada zinafanyika ili intaneti irejee kama kawaida, jana na leo hali haikuwa shwari kwa utoaji huduma zinazotumia mtandao huo zikiwamo zile nyeti. Miongoni mwa huduma hizo ni malipo kwa njia ya simu, kutoa fedha benki, tiba mtandao na elimu mtandao. Taarifa ya TCRA iliyotolewa…