
Hati Fungani ya NMB Jamii yaanza kuuzwa Soko la Hisa London
Benki ya NMB imetanua wigo wa kushiriki katika masoko ya mitaji kimataifa kwa kuiorodhesha Hati fungani ya NMB Jamii (NMB Jamii Bond) katika Soko la Hisa la London (LSE) leo Jumatatu. Hatua hiyo inaifanya NMB kuwa taasisi ya kwanza Tanzania kuwa na hati fungani katika soko hilo na Benki ya Kwanza Afrika Mashariki kuorodhesha Hatifungani…