
TAMISEMI, AFYA, UTUMISHI ZASISITIZWA KUMALIZA CHANGAMOTO ZA WAUGUZI
Wauguzi wahimizwa kutimiza wajibu wao Serikali yaendelea kuimarisha sekta ya afya nchini Na Ofisi ya Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Wizara ya Afya, na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora zimeagizwa kufanyia kazi changamoto zinazowakabili wauguzi nchini ili…