
Mabanda kutumika kuhamasisha kujifunza sayansi na hisabati
Dar es Salaam. Wakati kukiwa na mkazo wa masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati (STEM), wadau wa elimu wamebuni mpango wa kujifunza kuanzia ngazi za chini kwa kuanzisha mradi wa ‘Banda Jami’. Mradi huo unalenga watoto wenye umri wa kuanzia miaka 9-13 hadi, wenye lengo la kukuza uelewa wa kina wa masomo ya STEM,…