
Bomoa bomoa yashika kasi KIA
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanajro, Nurdin Babu amesema wanaopaswa kuondoka upande wa Wilaya ya Hai ni kaya 1,061.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanajro, Nurdin Babu amesema wanaopaswa kuondoka upande wa Wilaya ya Hai ni kaya 1,061.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuangalia upya mfumo mzima wa utoaji leseni, ukaguzi wa magari, matumizi ya teknolojia hususan kamera za barabarani na matumizi ya Body-cam jackets zitakazoonesha mazungumzo baina ya askari na madereva ili kudhibiti rushwa barabarani, kuimarisha weledi na uthabiti wa…
Morogoro. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amewataka waandishi wa habari kufanya utafiti wa kina wenye lengo la kuibua vivutio vipya ya utalii, ikiwa ni njia ya kutanua wigo ya kuhamasisha watalii zaidi kutembelea vivutio vya utalii. Akizungumza na Mwananchi baada ya ufunguzi wa mafunzo ya nafasi ya mwandisi wa habari sekta ya utalii,…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Wabunge kutoka Nchini Korea Kusini, ukiongozwa na Mhe. Sul Hoon (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-5-2024.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akiwapokea vijana 10 walioendesha baiskeli kutoka Moshi, Kilimanjaro hadi Dodoma ikiwa ni moja ya njia za kukitangaza Chama cha…
Jeshi la nchi hiyo limesema vikosi vyake vinaendelea kuwalenga wanamgambo wa Hamas kwenye maeneo tofauti mashariki mwa mji huo. Limesema wanamgambo kadhaa wa kundi hilo wameuawa katika kipindi cha saa 24 zilizopita. Lakini taarifa ya jeshi hilo haikutoa idadi kamili ya wapiganaji wa Hamas iliyowaua. Israel imetangaza vilivile bado inadhibiti kwa kiasi fulani eneo la…
Muleba. Wakati mvua katika maeneo mbalimbali nchini zikisababisha mafuriko, baadhi ya maeneo yameshuhudia maporomoko ya tope linalotembea kama maji, jambo ambalo limewastaabisha watu ambao hawakuwahi kushuhudia jambo hilo. Hicho ndiyo kinachotokea katika Kitongoji cha Kabumbilo kilichopo katika Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, ambapo tope linalotembea kuelekea mwambao wa Ziwa Victoria, limeibua gumzo mitandaoni huku watu…
Katika kukabiliana na ongezeko la athari za mabadiliko ya tabianchi na uharibifu wa mazingira, kampuni ya Heineken Tanzania imeanzisha ushirikiano wa kimkakati na shirika la mazingira la Lead Foundation. Lengo la ushirikiano huu ni kufanya mipango endelevu ya kurejesha misitu iliyoharibiwa na kulinda mazingira yetu. Meneja wa Kampuni ya Heineken Tanzania, Obabiyi Fagade akizungumza na…
WAKATI Yanga ikiwa katika hatua za mwisho za kukamilisha mazungumzo kwa ajili ya kumsajili beki wa FC Lupopo, Chadrack Boka anayetakiwa kuja kuziba nafasi ya Lomalisa Mutambala, mwenyewe amefunguka kwamba: “Najua mashabiki wanachotaka, waambie wasubiri nakuja kuwafurahisha kwa kuipa timu kazi nzuri.” Boka ambaye ni mrefu kwa umbo, amefichua kwamba anasubiri uhamisho huo ukamilike haraka…
Unguja. Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imesema licha ya jitihada kubwa inazofanya na kuboresha mifumo ya ulipaji kodi bado upo chini ya asilimia 98. Pamoja na mambo mengine, ulipaji kodi wa hiari unakumbana na vikwazo ikiwamo imani ya dini kwamba kulipa kodi si sawa kwa sababu wanalipa zaka, hivyo kuwaomba wajumbe wa Baraza la Wawakilishi…