
MSAMA AMKUMBUKA HAYATI BERNARD MEMBE,AWAOMBA WATANZANIA KUMKUMBUKA, KUMUENZI
Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI wa Msama Promotion, Alex Msama amewaomba Watanzania kukumbuka na kuenzi mambo mema yaliyofanywa na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Mbunge wa Mtama hayati Benard Membe wakati wa uhai wake. Pia amewaomba kuendelea kuyasimamia yale yote mema ambayo Membe enzi za uhai wake alikuwa anataka yatekelezwe. Akizungumza katika Misa…