
WAFANYABIASHARA, JAMII INAYOJIHUSISHA NA SEKTA YA MADINI WATAKIWA KUHAKIKISHA WANATUMIA VIFAA VYENYE UBORA
Na Mwandishi wetu Wafanyabiashara wa madini pamoja na jamii inayojihusha na sekta ya madini wametakiwa kuhakikisha wanatumia vifaa vyenye ubora katika uchakataji wa madini ili kuongeza ubora kwa ustawi wa shughuli za madini na kuendana na kasi ya maendeleo ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Nesch…