
KUJIENDELEZA KATIKA TAALUMA YA AFYA NILAZIMA: DKT. JINGU
Na WAF, DODOMA Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dk John Jingu amewataka wanataaluma wa Kada ya afya nchini kujenga tabia ya kutafuta maarifa mapya na kuboresha ujuzi ili kutoa huduma bora. Dkt. Jingu ametoa rai hiyo Mei 10, 2024,Jijini Dodoma kwenye kilele cha maadhimisho ya wiki ya mafunzo endelevu kwa wanataaluma wa Kada ya…