
Labour kuufuta mpango wa Sunak wa kupeleka wahamiaji Rwanda – DW – 10.05.2024
Chama hicho cha Labour kimeahidi badala yake kuanzisha mkakati mgumu zaidi wa kukabiliana na wahamiaji wasio na vibali ikiwa ni pamoja na kuanzisha kikosi kazi kipya cha mpakani na kuongeza nguvu ya kupambana na ugaidi. Kwenye hotuba yake aliyoitoa kwenye mji wa Dover, kwenye kaunti ya Kent, Kiongozi huyo wa Labour Keir Starmer aliitaja sera hiyo…