
Serikali kuboresha sera ya miliki bunifu
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Serikali imeweka wazi kuwa inaendelea kuboresha sheria na sera ya miliki bunifu ili kuhakikisha yanakuwepo mazingira rafiki yenye tija kwa wabunifu na Taifa kwa ujumla. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma ‘ Mwana FA’ wakati alipomuwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji…