
Saa 72 za moto Chadema, kauli ya Lissu…
Dar/mikoani. Hatima ya nani atateuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwania nafasi za uenyekiti wa kanda, itajulikana baada ya Kamati Kuu kujifungia kwa siku tatu kuanzia kesho Jumamosi hadi Jumatatu. Pamoja na wateule hao kujulikana, baada ya kikao hicho, msimamo wa chama hicho kuhusu kauli ya Makamu Mwenyekiti wake Bara, Tundu Lissu juu…