
Wananchi Rungwe wapewa siku 60 kupisha ujenzi wa barabara
Mbeya. Wakati Serikali ikitoa zaidi ya Sh87 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya barabara kwa kiwango cha lami katika Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, wananchi wametakiwa kuondoa mali zao kwenye hifadhi ya barabara ndani ya siku 60 ili kupisha ujenzi huo. Barabara zitakazojengwa ni ya kutoka Katumba hadi Lupaso kilomita 35.5 na ya…