
“Tumefanikiwa kuwarudisha tembo 61 Hifadhini” Waziri Kairuki
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imedhamiria kutatua changamoto ya migongano baina ya binadamu na wanyamapori huku ikisisitiza kuwa katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 imeweka kipaumbele katika kutatua changamoto hiyo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) wakati wa zoezi la kuwarudisha tembo hifadhini lililofanyika Wilaya ya…