
NIC INSURANCE YAWAKIMBILIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI
Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Kaimu Mkeyenge akikabidhi sehemu ya msaada wenye thamani ya sh.Milioni 10 Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele Kwa ajili ya Waathirika wa Mafuriko wa Kata 13 za Wilaya hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Kaimu Mkeyenge akizungumza mara baada ya kukabidhi sehemu ya msaada wenye thamani ya sh.Milioni…