
DKT. YONAZI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA OXFORD POLICY MANAGEMENT
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akizungumza na Wataalam kutoka Oxford Policy Management Ofisini kwake tarehe 09 Mei, 2024 Jijini Dodoma. Mratibu wa Programu ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bi. Adela Mpina (Kulia) akifafanua jambo…