Yanga kikitoka chuma, kinashuka chuma zaidi

Yanga wana msemo wao mmoja maridadi sana ‘Daima Mbele Nyuma Mwiko’, yaani hawana nafasi ya kujuta na wako tayari kuchukua maamuzi yoyote magumu na baada ya hapo hawaangalii nyuma. Msemo wao huu kuna namna umekuwa ukiwaheshimisha katika misimamo yao katika mambo mbalimbali ndani ya klabu yao na kama hujajua wanamaanisha nini, cheki haya mambo sita…

Read More

SERIKALI YAAINISHA MPANGO WA KUSAIDIA WACHIMBAJI WADOGO NCHINI

Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde ameainisha mpango wa serikali wa kusaidia utatuzi wa changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo nchini. Mh Mavunde ameyasema hayo leo wakati akijibi swali la Mh Dkt. Christine Gabriel Ishengoma Mbunge wa Viti Maalum aliyetaka kujua mpango wa serikali kuwasaidia Wachimbaji Wadogo wa Madini Wilaya ya Ulanga. Akijibu awali hilo Waziri Mavunde…

Read More

Mafuriko Jangwani, mwendokasi yasitisha huduma

Dar es Salaam. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) umeifunga Barabara ya Morogoro eneo la Jangwani asubuhi ya leo Alhamisi Mei 9, 2024 kutokana na mafuriko ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini ikiwemo jijini Dar es Salaam. Taarifa kwa umma iliyotolewa na  Dart imesema kutokana na kufungwa kwa eneo hilo,  mabasi kwa njia…

Read More