
Wadau wataja mbinu kukabili mafuriko, uharibifu miundombinu
Dar es Salaam. Wakati mvua zinazonyesha maeneo mbalimbali nchini zikiendelea kuleta athari za kiuchumi na kukwamisha baadhi ya shughuli hasa usafirishaji, wadau wameshauri mbinu zinazoweza kutumika kukabili athari zake. Pia, wameitaka Serikali ya Tanzania kuwa na utaratibu wa kufanya tathimini ya miundombinu kabla ya masika ili kuweza kupunguza athari zinazoweza kutokea. Wametoa maoni hayo leo…