
Ongezeko la maji Ziwa Victoria, Tanganyika linavyowaathiri wavuvi, wananchi
Kanda ya Ziwa. Wakati kaya 424 za Kata ya Lamadi mkoani Simiyu na Rorya Mkoa wa Mara zikikosa makazi baada ya nyumba zao kuzingirwa na maji ya Ziwa Victoria, zaidi ya visiwa vya uvuvi 26 vimeathiriwa na maji hayo. Kati ya kaya hizo, 413 ni kutoka vitongoji vya Lamadi, Makanisani na Itongo mkoani Simiyu na…