
TAS yataka juhudi za pamoja kukabili unyanyapaa, ukatili
Dar es Salaam. Tukio la kujeruhiwa mtoto mwenye ualbino mkoani Geita limekiibua Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS), kikiikumbusha Serikali na mamlaka husika kuhusu uhitaji wa juhudi za pamoja za kukabiliana na unyanyapaa na ukatili. TAS imesema juhudi hizo ni pamoja na Wizara ya Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi, Vijana, Ajira na Wenye…