
Maswali matano mwisho wa Inonga Simba
MKATABA wa beki wa Simba, Henock Inonga unamalizika mwisho wa msimu huu. Tayari ameshaitumikia Simba misimu miwili na kuonyesha kiwango bora ingawa kimekuwa kikilalamikiwa na mashabiki wa siku za karibuni. Beki huyo wa zamani wa FC Renaissance na DC Motema Pembe za DR Congo amekuwa akihusishwa pia na timu mbalimbali zikiwamo za Afrika Kaskazini hasa…