
Kliniki ya kusikiliza Wananchi yaanza Rasmi Mkoani Arusha.
Na Jane Edward, Arusha Vilio, nyuso za Huzuni, Majonzi na sura zilizokufa Matumaini ni mambo yaliyotawala kwenye Nyuso za mamia ya Wakazi wa Mkoa wa Arusha waliojitokeza kwa wingi kwenye Kliniki Maalum ya Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul Christian Makonda ya kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali za Wananchi. Mhe. Mkuu wa Mkoa amekuwa hapa kwenye…