
Bodi ya makandarasi kuanza operesheni kukagua miradi mikubwa nchini
Arusha. Kutokana na miradi mingi mikubwa hususani ya barabara kutekelezwa chini ya kiwango, Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), imesema inaanza operesheni maalumu kukagua miradi hiyo. Pia, imesema kupitia operesheni hiyo itakayoanza mwezi huu, itajiridhisha endapo makandarasi wa nje walioingia mikataba na Serikali wanafanyakazi kwa mujibu wa sheria na kinyume na hapo, hatua zitachukuliwa dhidi…