
WANAFUNZI SAVANNAH PLAINS KUIWAKILISHA TANZANIA MASHINDANO YA UBINGWA WA DUNIA YA KUONGEA KWENYE HADHARA
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Savannah Plains iliyopo Ibadakuli katika Manispaa ya Shinyanga Mkoa wa Shinyanga nchini Tanzania wamesafiri kuelekea Jijini Nairobi nchini Kenya kushiriki Mashindano ya Ubingwa wa Dunia wa Mjadala na Kuongea kwenye hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza (World Championship Debate and Public Speaking Tournaments)…