
Waathirika wa mafuriko Ifakara warejea kwenye makazi yao
Ifakara. Waathirika 160 kati ya 400 wa mafuriko waliowekwa kwenye kambi ya Shule ya Msingi Ifakara wilayani Kilombero Mkoa wa Morogoro, wamerejea kwenye makazi yao huku wakiendelea kufanya ukarabati wakati Serikali ikikagua hali ya usalama wa nyumba hizo. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatano Mei 8, 2024, Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Danstan Kyobya amesema…