
NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI DK. MSONDE AZINDUWA MAADHIMISHO JUMA LA ELIMU KITAIFA, GEITA
Mgeni rasmi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa yanayoendelea mkoani Geita, Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Dkt. Charles Msonde akizungumza alipokuwa akizinduwa Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa yanayofanyika mkoani Geita leo. Kaimu Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala (wa pili kushoto) akimkabidhi mgeni rasmi na Naibu…