
Boban afunguka ya moyoni kuhusu Simba, awauma sikio wazawa, Chama…
KAMA kuna wachezaji waliokuwa wanaangaliwa sana uwanjani kama watatoka bila ya kadi, mmoja wao ni Haruna Moshi ‘Boban’, kiungo wa zamani wa Simba, Yanga na Taifa Stars ambaye pia aliwahi kucheza soka la kulipwa nje ya nchi kwenye klabu ya Gefle IF ya Sweden. Alikuwa kiungo fundi hasa na moja ya kumbukumbu zake zilizoko vichwani…