
Kisukari cha mimba ni nini?
Kisukari cha mimba ni aina ya kisukari kinachotokea kwa baadhi ya wanawake wakati wa ujauzito. Katika kisukari cha mimba mwili wa mama hutengeneza kiasi cha kutosha cha insulini lakini huzuiwa kufanya kazi na vichocheo vingine ambavyo hutengenezwa na mwili wa mama wakati wa ujauzito. Kadiri mimba inavyozidi kukua ndivyo vichocheo vinavyotengenezwa na mwili wakati wa…