
Boeing 737-9 Max kuanza kutua Dodoma
Dodoma. Wakati Bunge la Tanzania likipitisha bajeti ya Wizara ya Uchukuzi, Serikali imesema mwishoni mwa mwaka 2024 ndege kubwa ya abiria ya Boeing 737-9 Max itaanza kwenda Dodoma mara mbili kwa siku. Pia, Serikali imesema wananchi wa Kipunguni jijini Dar es Salaam waliopisha uwanja wa ndege, wataanza kulipwa fedha zao mwaka huu, baada ya kusubiri…