
Ma- DED wanolewa kuhusu uchaguzi, rushwa na mikopo
Kibaha. Wakurugenzi wa mamlaka za serikali za mitaa nchini kote leo Mei 6, 2024, wameanza mafunzo ya siku tatu yenye lengo la kuwaongezea mbinu za kuboresha utekelezaji wa majukumu yao mahala pa kazi. Mada zitakazotolewa wakati wa mafunzo hayo yanayofanyika Kibaha mkoani Pwani ni pamoja na masuala ya rushwa na ubadhirifu katika mamlaka za Serikali…