
Simba yatua kwa kina Pacome, Yanga ni anga kwa anga
Kama ulishtuka kusikia bosi wa Yanga,Hersi Said yupo jijini Lubumbashi nchini DR Congo akifuata mashine mpya, basi sikia na hii namna ambavyo vigogo wa klabu hiyo walivyogawana anga wakishambulia ndani na nje ya nchi kusaka mashine mpya. Matamanio yaliyopo nyuma ya vigogo hao ni kuhakikisha Yanga inacheza fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao…