
Msikie Nchimbi, Umewahi kula ugali wa mafuta!
VIPO vyakula vya aina mbalimbali duniani, lakini umewahi kusikia au kula ugali uliopikwa kwa kuchanganywa na mafuta ya kupikia? Hata hivyo, katika harakati za kutafuta maisha mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Ditram Nchimbi amejikuta akikumbana na chakula hicho nchini Rwanda anakoichezea Etincelles FC inayoshiriki Ligi Kuu. Katika mahojiano na Mwanaspoti, Nchimbi aliyeichezea Yanga kati ya…