
Cheki ramani nzima ya ubingwa Yanga ilivyo
MNAHESABU lakini? Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Yanga juzi kupata ushindi wa 21 katika michezo 25 iliyochezwa katikaa Ligi Kuu Bara. Yanga ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa na kuifanya ifikishe jumla ya pointi 65 na sasa inahitaji pointi nane tu ili kutangaza ubingwa mapema. Bao pekee la dakika ya 41 kupitia Joseph…