
TASAC imeendelea kutoa leseni na vyeti vya usajili kwa watoa huduma waliokidhi vigezo
Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame M. Mbarawa (Mb.) amesema Serikali kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imeendelea kutoa huduma za udhibiti wa huduma za bandari, usafiri majini na kutoa huduma ya biashara ya meli kwa bidhaa mahsusi Tanzania Bara. Akizungumza wakati wa kuwasilisha bungeni Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha…