
Mbunge ashukia vigezo vya Tasaf
Dodoma.Mbunge wa Viti Maalum, Anatropia Theonest amesema wakati mwingine wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf), huondolewa katika mfumo kwa kutoelewa vigezo ama kwa kuonewa. Akiuliza swali bungeni leo Mei 6, 2024, Anatropia amehoji kwa nini vigezo haviko dhahiri ili kuepuka siasa katika jimbo hilo. Akijibu swali hilo Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi…