
Ken Gold yaanza kusaka kocha mpya, yapokea CV kibao
Wakati idadi ya makocha wanaoomba kibarua Ken Gold ikizidi kuongezeka, uongozi wa timu hiyo umesema mbali na vigezo vya elimu, unataka kocha mwenye historia ya matokeo mazuri. Ken Gold ya wilayani Chunya mkoani Mbeya inatarajia kushiriki Ligi Kuu msimu ujao baada ya kupanda daraja na kumaliza Championship ikiwa kinara kwa pointi 70 ikifuatiwa na Pamba…