ATCL YAINGIA MAKUBALIANO KUPELEKA MARUBANI KUFUNDISHA NA KUSIMAMIA NDEGE MPYA NCHINI NIGERIA

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), imeingia makubaliano ya kupeleka marubani wake kufundisha na kusimamia ndege mpya za Airbus A220 za Kampuni ya Ndege ya Ibom iliyopo nchini Nigeria. Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Mha. Ladislaus Matindi, amethibitisha kuwepo kwa makubaliano hayo ambapo amesema ATCL imetoa marubani wake waandamizi wawili ambao watakuwa na jukumu la kuwafundisha kwa…

Read More