
WAZAZI MKOA WA MAGHARIBI WAFANYA KONGAMANO KUELEKEA WIKI YA WAZAZI
Na Fauzia Mussa Maelezo.05.05.2024. Mkuu wa Oganaizesheni Afisi Kuu ya chama cha mapinduzi Zanzibar Omar Ibrahim Kilupi amezitaka jumuiya za chama cha Mapinduzi kuweka mikakati ya kuwatambua vijana ambao hawajasaliliwa katika datfari la wapiga kura ili waweze kusajiliwa. Akifungua kongamano la jumuiya ya wazazi wa Mkoa wa Magharibi Kichama huko Skuli ya Ali Hassan Mwinyi…