
Boban: Simba bado inamuhitaji Kibu
WAKATI za chini ya kapeti zikielezwa nyota wa Simba, Kibu Denis ana asilimia kubwa ya kusaini Yanga kwa ajili ya msimu ujao baada ya mkataba wake kutarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu, aliyekuwa Kiungo wa Wanamsimbazi, Haruna Moshi ‘Boban’ amewataka matajiri wa klabu hiyo, wafanye kitu kwa staa huyo. Boban ambaye aliitumikia Simba kwa takribani…