
TUME YA TAIFA YA UNESCO :HARAKISHENI MCHAKATO WA KUINGIZA ORODHA YA HIFADHI ZA DUNIA
Mkuu wa Progamu za Urithi wa Dunia wa Tume ya Taifa ya UNESCO Eric Kajiru akiwasilisha mada katika Semina ya wadau Maeneo ya Hifadhi za Asili ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Urithi wa Dunia Afrika yaliyofanyika Kitaifa wilayani Kondoa mkoani Dodoma *Yataka wadau watumie fursa hiyo kabla ya vigezo havijabadilika Na Mwandishi Wetu TUME…