
Ramadhani Brothers wazifikisha tuzo na picha ya Rais kilele cha mlima Kilimanjaro
MABINGWA na washindi wa America’s Got Talent 2024 (AGT), Ramadhani Brothers, wamefanikiwa kufika leo Jumamosi, Mei 4,2024 katika kilele cha Mlima Kilimanjaro wakiwa na tuzo, bendera ya taifa, picha ya majaji wa AGT na ya Rais Samia Suluhu Hassan. Ndugu hao, Fadhili Ramadhani na Ibrahim Job, ambao hivi karibuni walijinyakulia kitita cha dola 250,000 (Sh637…