
Kasi ya ACT Wazalendo na tathmini ya miaka 10 ijayo
Kigoma. Safari ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Chama cha ACT Wazalendo inaandikwa leo usiku, huku viongozi wake wakitabiri taswira ya chama hicho katika miaka kumi ijayo. Kwa mtazamo wa viongozi hao, katika miaka 10 ijayo, ACT Wazalendo ndicho kitakachoshika hatamu ya uongozi serikalini, kielelezo cha ushirikishwaji wa vijana katika siasa na taswira halisi ya…