
Kuelekea siku ya wakunga duniani: Serikali yazindua mradi wa thamini uzazi salama
Dar es Salaam. Wakati kesho Jumapili Mei 5, 2024 Tanzania ikiungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Wakunga Duniani, Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wamezindua mradi wa ‘thamini uzazi salama’. Mradi huo unalenga kuwaje unaolenga kuwajengea ujuzi wakunga ili kupunguza vifo vya kina na mama na watoto wachanga. Mradi wenye thamani ya…