
JKT Tanzania yaua, kubaki Ligi Kuu bado mtihani
LICHA ya kusogea hadi nafasi ya saba kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kufikisha pointi 29, timu ya JKT Tanzania bado haina uhakika wa kucheza ligi msimu ujao. JKT Tanzania imeshinda mabao 2-0 kwenye uwanja wao wa nyumbani dhidi ya Geita Gold na kupanda nafasi mbili ikizishusha Namungo na Dodoma Jiji. Matokeo hayo…