
Gamondi azungumzia ukame mabao ya Nzengeli
MAXI Nzengeli alipojiunga na Yanga mwanzoni mwa msimu huu, alianza kuitumikia timu hiyo kwa kishindo akifunga kwa kiwango cha kutisha kabisa akipachika mabao manane katika mechi 12 za kwanza za michuano yote, lakini tangu alipoifunga Simba mabao mawili katika ushindi wa 5-1 wa Kariakoo Dabi ya kwanza Novemba 5, 2023, mabao ya kiungo huyo Mcongo…