
Aliyekuwa Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo afariki dunia
Dar es Salaam. Aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kilosa, Mustafa Mkulo amefariki dunia jana Mei 3, 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa taarifa ya kutangaza kifo chake iliyotolewa na familia yake, msiba upo nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam. Maziko yake yanatarajiwa kufanyika nyumbani…